Msaada: Maumivu ya shingo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Maumivu ya shingo.

Discussion in 'JF Doctor' started by tindikalikali, Sep 3, 2011.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Hellow JF, Nasumbuliwa na maumivu ya shingo toka juzi. Sijajua sababu ni nini, mwanzo ilikuwa kichwa, ukafata mgongo na sasa shingo, mwenye kujua tiba yake naomba msaada.
   
Loading...