Msaada: Maumivu ya mgongo na nguvu za kiume

MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,226
Points
2,000
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,226 2,000
Ndugu zangu, yapata miezi 5 sasa nasumbuliwa na tatizo la kuumwa sana kwa mgongo ( kwenye maungio kati ya uti wa mgongo na nyonga) chakushangaza nikiwa na hayo maumivu, mashine inakua ya baridi mnoo na nikiwa kwa bed na shemeji yenu baada ya round ya kwanza nachelewa sana kurudia yaweza kuchukua hata masaa 3.

Ila nikitumia pain killer yoyote ya mgongo mashine inarudi kwenye hali yake na nakua fresh tu. Hii hali inanichanganya sana naomba kwa mwenye kujua hili tatizo anisaidie.

Nawasilisha
Nenda kapime kwanza tupate kujuwa chanzo cha maradhi yako ni nini? kisha uje hapa utupe majibu yako tupate kukupa ushauri mzuri.
 
B

BF SUMA LIMITED

Verified Member
Joined
Sep 4, 2019
Messages
8
Points
45
B

BF SUMA LIMITED

Verified Member
Joined Sep 4, 2019
8 45
Mkuu badala ya kumpa dawa ya kutibu maradhi yake ya mgongo na kiuno wewe unampa dawa ya kuongeza nguvu za kiume ? Vipi wewe?
Hivyo ni virutubisho vinasaidia maumivu pamoja na kuimarisha mfumo mzima wa uzazi kwa mwanaume
 

Forum statistics

Threads 1,334,601
Members 512,059
Posts 32,481,065
Top