Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 65,812
- 156,950
Uko mkoa gani?Habar wakuu naomba kufahamishwa madaktar bingwa wazur wa kinywa koo na maskio
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Uko mkoa gani?Habar wakuu naomba kufahamishwa madaktar bingwa wazur wa kinywa koo na maskio
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hao ekenywa watu wanasema siku hizi wamekuwa wababaishaji sijui kweliDar-EKENYWA MAGOMENI
MUHIMBILI
AGAKHAN
Nko mkoaniNenda hospital kubwa kama muhimbili tena wahi vipimo!
Sikuhiz kuna magonjwa mengi ya koo. Ndiyo sababu nakushauri usitumie dawa kiholela nenda hospital kubwa kapime!
Sawa Ila mkoani hawani vipimo vya kinywa uku labda nijaribu Kuna hospital mpya imefunguliwa nlishawahi uliza kipimo Cha endoscopy wakasema wanacho Ila hawana mtaalamu wakukitumiaRudi hospitali ukafanye vipimo ipasavyo.
Nimeelewa boss kwaiyo nisitishe doziSikuhiz kuna magonjwa mengi ya koo. Ndiyo sababu nakushauri usitumie dawa kiholela nenda hospital kubwa kapime!
UNAENDA SANA CHUMVINI UKIFIKIRI NI SIFA. UNAENDA KUPATA KANSA SASA MBWA WEEEEHabari wakuu, nasumbuliwa na koo kuuma upande wakulia nikiwa simezi mate wala kula, pia hata kama nikimeza mate na kula linauma pia.
Nilienda kwa dokta wa serikali ila nje ya ofisi. Yaani ana maabara yake, ananiachamisha mdomo na kuangalia, kwa maelezo yake anasema kaona tonses. Akanipa dawa nikatumia Pen V Maasle Puls ila sikupata nafuu. Ikanibidi nibadili dawa baada ya ushauri wa Carlos the Jacko wa humu JF nikatumia Ampiclox na Ibupfren.
Sasa leo siku ya nne natumia sioni mabadiliko, hali iko pale pale.
wakuu msaada wenu kwa aliyekuwa na tatizo kama hili akapona, anielekeze dawa alizotumia akapona ugonjwa. Mpaka sasa nina siku 18.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Fuata ushauri Wakuu wenzangu nenda hospitali ukapime endapo hujapona nitafute mimi kwa wakati ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako. Ninakuuliza swali je unafanya mapenzi kwa kutumia njia ya mdomo? Oral sex?Habari wakuu, nasumbuliwa na koo kuuma upande wakulia nikiwa simezi mate wala kula, pia hata kama nikimeza mate na kula linauma pia.
Nilienda kwa dokta wa serikali ila nje ya ofisi. Yaani ana maabara yake, ananiachamisha mdomo na kuangalia, kwa maelezo yake anasema kaona tonses. Akanipa dawa nikatumia Pen V Maasle Puls ila sikupata nafuu. Ikanibidi nibadili dawa baada ya ushauri wa Carlos the Jacko wa humu JF nikatumia Ampiclox na Ibupfren.
Sasa leo siku ya nne natumia sioni mabadiliko, hali iko pale pale.
wakuu msaada wenu kwa aliyekuwa na tatizo kama hili akapona, anielekeze dawa alizotumia akapona ugonjwa. Mpaka sasa nina siku 18.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Sjawahi kuingia chumvini tangu nizaliweUNAENDA SANA CHUMVINI UKIFIKIRI NI SIFA. UNAENDA KUPATA KANSA SASA MBWA WEEEE
Fuata ushauri Wakuu wenzangu nenda hospitali ukapime endapo hujapona nitafute mimi kwa wakati ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako. Ninakuuliza swali je unafanya mapenzi kwa kutumia njia ya mdomo? Oral sex?Habar wakuu nisiku 16 Sasa Koo langu upande wakulia huuma nikiwa nameza mate,kula au hata kiwa tu sili walakumeza mate huuma Sana koo upande wakulia.
nilienda kwa doctor nje yakazi Ana maabara yake nikaachama akanigalia akasema tonses Sasa dozi nilimaliza pen v na musle plus lakini Hali bado.
kapita pita humu calos the jacko akaelekeza dawa ya ampiclox na ibupren nimetia Leo siku yanne lakini Hali iko vile vile.
Wakuu nimekuja Tena kwenu nipeni msaada Sina Raha mda wote Koo linaumaa Hadi kichwa kinauma
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Hapana mkuu sjawahi fanya oral sex tangia nizaliweFuata ushauri Wakuu wenzangu nenda hospitali ukapime endapo hujapona nitafute mimi kwa wakati ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako. Ninakuuliza swali je unafanya mapenzi kwa kutumia njia ya mdomo? Oral sex?

Pole sana. Ila huna budi kuhakikisha umefanya vipimo kwa vyovyote vile. Leo utapewa aina nyingine ya dawa na doctor wa jf na isipokusaidia utatafuta daktari mwingine.Sawa Ila mkoani hawani vipimo vya kinywa uku labda nijaribu Kuna hospital mpya imefunguliwa nlishawahi uliza kipimo Cha endoscopy wakasema wanacho Ila hawana mtaalamu wakukitumia
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app