robbinhood JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 541 Reaction score 1,539 Oct 7, 2020 #1 Samahani sana ndugu zangu wana Jf, Leo ni siku ya 3 naskia maumivu nyuma ya goti hasa wakati wa kuukunja na kuunyoosha mguu Hivo naomba msaada wenu juu ya hili tatizo ndugu zangu[emoji120] Jinsia: me Umri: 24 Uzito: Kg 65
Samahani sana ndugu zangu wana Jf, Leo ni siku ya 3 naskia maumivu nyuma ya goti hasa wakati wa kuukunja na kuunyoosha mguu Hivo naomba msaada wenu juu ya hili tatizo ndugu zangu[emoji120] Jinsia: me Umri: 24 Uzito: Kg 65
Ronnycinchy JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,086 Reaction score 7,121 Oct 7, 2020 #2 Jinsia? Umri? Uzito? Kazi yako? Una dawa zozote unazotumia? Aina ya maumivu.... Hizi ni taarifa zilipaswa kuambatana na maelezo yako hapo juu...[emoji854][emoji854][emoji854]
Jinsia? Umri? Uzito? Kazi yako? Una dawa zozote unazotumia? Aina ya maumivu.... Hizi ni taarifa zilipaswa kuambatana na maelezo yako hapo juu...[emoji854][emoji854][emoji854]
robbinhood JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 541 Reaction score 1,539 Oct 7, 2020 Thread starter #3 Rowin said: Jinsia? Umri? Uzito?.... Hizi ni taarifa zilipaswa kuambatana na maelezo yako hapo juu...[emoji854][emoji854][emoji854] Click to expand... Mkuu nina umri wa miaka 24. uzito ni kilogram 65. ninatumia dawa ya kuchua tu imeandikwa DICLOPAR activa, hii nimeanza kutumia leo
Rowin said: Jinsia? Umri? Uzito?.... Hizi ni taarifa zilipaswa kuambatana na maelezo yako hapo juu...[emoji854][emoji854][emoji854] Click to expand... Mkuu nina umri wa miaka 24. uzito ni kilogram 65. ninatumia dawa ya kuchua tu imeandikwa DICLOPAR activa, hii nimeanza kutumia leo
Ronnycinchy JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,086 Reaction score 7,121 Oct 7, 2020 #4 robbinhood said: Mkuu nina umri wa miaka 24 uzito ni kilogram 65 ninatumia dawa ya kuchua tu imeandikwa DICLOPAR activa, hii nimeanza kutumia leo Click to expand... Endelea na hiyo dawa....kwa sasa...kuna uwezekano umeshtua , baada ya kazi nzito au mazoezi.
robbinhood said: Mkuu nina umri wa miaka 24 uzito ni kilogram 65 ninatumia dawa ya kuchua tu imeandikwa DICLOPAR activa, hii nimeanza kutumia leo Click to expand... Endelea na hiyo dawa....kwa sasa...kuna uwezekano umeshtua , baada ya kazi nzito au mazoezi.
robbinhood JF-Expert Member Joined Apr 19, 2020 Posts 541 Reaction score 1,539 Oct 7, 2020 Thread starter #5 Rowin said: Endelea na hiyo dawa....kwa sasa...kuna uwezekano umeshtua , baada ya kazi nzito au mazoezi. Click to expand... Asante kwa ushauri dada angu[emoji120]
Rowin said: Endelea na hiyo dawa....kwa sasa...kuna uwezekano umeshtua , baada ya kazi nzito au mazoezi. Click to expand... Asante kwa ushauri dada angu[emoji120]
Ronnycinchy JF-Expert Member Joined Oct 1, 2011 Posts 2,086 Reaction score 7,121 Oct 7, 2020 #6 robbinhood said: Asante kwa ushauri dada angu[emoji120] Click to expand... Karibu
AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,403 Oct 7, 2020 #7 Rowin said: Karibu Click to expand... Naomba nami nikuulize, napata maumivu makali katika kidole gumba cha mguu wa kulia sijapata ajali yoyote ila nikikunja hakiumi ila nikitembea ndio kinauma sana, naomba ushauri kama yawezekana.
Rowin said: Karibu Click to expand... Naomba nami nikuulize, napata maumivu makali katika kidole gumba cha mguu wa kulia sijapata ajali yoyote ila nikikunja hakiumi ila nikitembea ndio kinauma sana, naomba ushauri kama yawezekana.