Muktadha ni jambo linalozungumziwa katika habari, hadithi, simulizi, maigizo nk, mfano; 1---"Fisi wengi wameonekana wakiranda maeneo ya sokoni wakijitafutia masalia ya minofu ya nyama na mifupa"
2----"Ng'ombe wengi msimu huu wamekonda kwasababu ya kukosekana kwa majani ya kutosha"
Hizi ni habari mbili zenye Muktadha tofauti, hivyo unaweza kusema Muktadha ni maudhui (context).