Mr kenice
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 5,546
- 9,374
Huyu dada hakupata msaada mana kuna baharia mmoja aliogelea PM nikajua atatoa rescuePole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
Huyu dada hakupata msaada mana kuna baharia mmoja aliogelea PM nikajua atatoa rescuePole sana, ngoja waje kukupa muongozo...
Samahan mkuu,hata mim wife anatatizo kama hili la maziwa kuvuja lakin yey maziwa ni mepesi kwakuwa ana mimba ya miez kama mitano iv,Kwa dalili hizo zinaonyesha unaweza ukawa na mimba na kama sio hivyo, basi angalia inaweza ukawa na saratani ya matiti, nenda kamuone daktari kwa msaada zaidi
Mimba ndio inapelekea hiyo hali.Samahan mkuu,hata mim wife anatatizo kama hili la maziwa kuvuja lakin yey maziwa ni mepesi kwakuwa ana mimba ya miez kama mitano iv,
Sasa naomba kuuliza mimba ndiyo inapelekea hii hali na itafika muda itaacha yenyew au inakuaje maan anakosa raha..
Dawa yake nyepesi na ya asili ni kukojozwa. Siyo upelekewe moto tu, hakikisha 'umekojoa', unapona chapnimepata tatizo la MATITI yanauma sana na kutoa maziwa mazito sielewi naomba msaada