Msaada matatizo ya Samsung S23 ultra

Umenunua sh ngapi maana bei ya S23 mpya ni ya ghali. Hiyo bei uliyonunulia inaweza pia kuonyesha ni copy au origin.
 
Hiyo simu huenda ilitumika ikawekwa ganda jipya, jaribu kuweka data/photo recovery iskani uone kama itavumbua vitu ndani ya hiyo simu.
 
Kwani haina Warant period?
Kama ina warant period ipeleke huko huko ulikoinunua!
 
Haya yote unayafanya ukiwa hapo hapo dukani kabla hujanunua.
 
Haya yote unayafanya ukiwa hapo hapo dukani kabla hujanunua.
Yes ni rahisi kuconnect wifi nakudownload Apk ya cpu Z… kama ni kanjanjaa watakukatalia mapema tu na wewe utakua umeokoa hasara.
 
Kuna uwezekano kuwa alinunua kwenye maduka yao lakini wakabadilisha wakampa kopi
Sababu ni Kama issues ni software sumsung wanafix mapema sana
 
Hii isijekuwa chai, mleta mada kaamua kuchangamsha genge tu hapa. Mlimani city mall huwezi kuta copy au simu mbovu S23 ultra na hapo hapo eti uuziwe kwa 3.4m
 
Hii isijekuwa chai, mleta mada kaamua kuchangamsha genge tu hapa. Mlimani city mall huwezi kuta copy au simu mbovu S23 ultra na hapo hapo eti uuziwe kwa 3.4m
Sichangamshi genge. Ni kweli na sasa nawaza hatua za kufuata wanipe simu nyingine...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…