Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shini ni aoftware issue
Angalia kama ni original au refub Kisha upeleke Samsung centerNimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.
2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.
3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory
4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.
5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk
Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue
Nenda about phone then reset all accessibility setting reset data setting then network setting...inaeza ikasaidia sijase ukarestore factory no reset only...Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya updatita.
Nimejaribu mafundi wao hapo mlimani naona wamechemka.
Shida inazonipa ni hizi.
1. Unaweza fungua program kama whatsup halafu inaifunga ( close) bila taarifa wala maelezo.
2. Ukitaka kuview attachement yoyote inakuambia huwezi kuview au huna memory ya kutosha wakati nimetumia 47Gb kati ya 512 zilizopo.
3. Ukitaka kudownload kitu say tik tok inakuambia memory imejaa hivyo nunua cloud memory
4. Ukitaka kutuma attachment inakataa kuatach kwa maelezo hiyo attachment haipo kwenye simu wakati naiona.
5. Ukitaka kutuma sms zinafail wakati nina sms bundle na data bundle la kutosha nk
Mwenye kujua jinsi ya kuondoka na hii kadhia tafadhali share maana naamini ni aoftware issue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] iyo ni feki mzee , inaukubwa hewa, Haina ukubwa huo wa 512GB, umepigwa na kitu kizito, hao mafundi wameogopa kukwambia ukweli kuwa umepigwa na nyundo ya The big Jack Horner , ukiweka memory kadi utaona inafanya kazi fresh, mana Kuna jamaa yangu nae ashawahi kutana na mkasa kama huo , well come to Tecno world.
Mpya kabisaa hapo mlimani cityUlinunua mpya au used?
Niliienda kwake ni authorised service dealer pale mlomani city kwenye duka laoNenda kwa Samsung dealers watakurekebishia....unless otherwise Hy simu ni fake
Dukani kwa samsung hapo mlimani city mall?Mkuu umeuziwa samsunG copy ilo ni copy
Kwa samsung S23 mi copy ipo mingi mkuu pole
Ndio walioshindwa mara 2Angalia kama ni original au refub Kisha upeleke Samsung center
wanaouza si niwa bongo kama ni wabongo hata pangeandikwa los angels nevada bado wangekuuzia copyDukani kwa samsung hapo mlimani city mall?
hiyo simu ni feki samsung hazina tabia hiyoNenda kwa Samsung dealers watakurekebishia....unless otherwise Hy simu ni fake
Mi nitatumia Samsung S23 na haina hizi shida sijaziona...Nimenunua Simu hiyo hapo juu hata mieziv4 haijapita ila imeanza matatizo baada ya update iliyopita.