Msaada: Matatizo ya macho

RJ45

JF-Expert Member
May 20, 2014
337
113
habari zenu wakuu!!

naomba msaada jinsi ya kuepuka madhara kwenye macho yanayotokana na matumizi ya vifaa vya kielektroniki kama simu, laptop na vifaa vingine kama hivyo.... binafsi najitahidi kupunguza mwanga lakini naona dalili za kuwa mhanga wa hili tatizo!!!!
 
Pole mbali na hizo vipunguza mwanga anabidi utumie chakula vizuri, kama unahitaji "msosi" basi wasiliana nami 0752 693 692
 
Back
Top Bottom