L LadySwa Member Joined Jan 25, 2009 Posts 77 Reaction score 6 May 12, 2015 #1 Wajenzi, naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving? Je! Ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe? Natanguliza shukrani.
Wajenzi, naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving? Je! Ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe? Natanguliza shukrani.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,996 Reaction score 132,367 May 12, 2015 #2 LadySwa said: Wajenzi.naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving?je ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe?natanguliza shukrani. Click to expand... Wafyatua matofali, watengeneza nguzo za fence, hao ndy wana tengeneza hizo perving blocks kama uko mbezi ya kimara Utazima barabarani au bagamoyo road kuanzia tegeta kuendelea utazipata huko
LadySwa said: Wajenzi.naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving?je ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe?natanguliza shukrani. Click to expand... Wafyatua matofali, watengeneza nguzo za fence, hao ndy wana tengeneza hizo perving blocks kama uko mbezi ya kimara Utazima barabarani au bagamoyo road kuanzia tegeta kuendelea utazipata huko