Habari, Ninaomba msaada wa kujua gharama za na aina nzuri ya mashine za kuamua alizeti. Aidha naombwa kufahamishwa gharama za uendeshaji zikoje ?. Nimeona fursa hii nataka kujikita katika biashara hiyo ila sina details zake.
Msaada tafadhali
Nawasilisha