Bei zinaanzia TSHs 60,000/= kuhusu kuchuja maji chumvi sina hakika.
jinsi invyofanya kazi:
kuna kichujio chenye sifa ya kutoa kitu kama Charge ambao unateketeza aina zote za vimelea vya magonjwa, kwa hivyo maji yanakuwa yanachujwa taratibu, na yanapotokea upande mwingine yanakuwa safi na salama kwa kunywa. Kifaa hicho hakitumiaa umeme wala battery. ni kama kifaa cha asili.