machine moja in zaidi ya million 20.Ushauri anza na kuprint vitabu India ambapo kuna cheap printers.Mtaji wako ukikuwa ndo ununue yako.Ata Shigingo vitabu vyake anachapa IndiaWandugu, naombeni msaada, nafikiria biashara ya uchapaji hasa vitabu, ila sijui mashine za uchapaji zinakuwaje na bei zake ni kiasi gani!! Na wapi nitaweza kuzipata, na materials, mfano karatasi, wino na kadhalika
Mwenye uelewa wa mambo haya anifahamishe.
Mkuu, mi nataka nijikite kwenye uandishi wa novel na vitabu, so nataka nichapishe mimi mwenyewe!! Ili kuondoa kutapeliwa na kisha kuchapishia na wengine
Usidanganywe offset kimeo hizo mashine zimejaa kkoo wengi zimewafilisi,yangu nimeiza yani hazima faida unaishia kulipa pango operator na umeme.Labda uchape mwenyewe kazi zako ila biashara sikushauri.Mashine mzuri ni Gto na Hidelbeg ambazo znachapa karatasi za A3
Mkuu ukiwa umeshaanda sample nicheki mimi niko kwenye kampuni ambayo itakusaidia ku print Quality kwa gharama ndogo na kuhusu copyright ya kazi zako pia tutakusaidia. Naomba uwe na imani kuhusu hilo swala lako.
Swala kubwa ni kuwa je nitakuwa na hakika gani hazitatoka copy za ziada ambazo mimi sijui?? Hilo tu ndo tatizo!! Unanihakikishia vipi hapo
Mkuu naomba nikupe ushauri. Kila kitu kinafanyika hapa hapa kuna kampuni ambayo mimi nafanya nao kazi ni waaminifu wanaitwa JAMANA PRINTERS ni kampuni ambayo inachukua mpaka tenda ya serikali na watu mbalimbali na gharama zao ni cheap sana hutoweza hata kuamini. Na kazi quality.
Kuhusu swala la Copy hawafanyi hawa jamaa sababu wanajua biashara na hawapendi kupoteza mteja.
kama unataka kuchapa vitabu vyako mwenyewe ni bora ukaanza kuprint india au china angalia soko likoje na ndio upime kama kununua mashine zako ni swala sahihi. Wa tz vitabu hatusomiMkuu, mi nataka nijikite kwenye uandishi wa novel na vitabu, so nataka nichapishe mimi mwenyewe!! Ili kuondoa kutapeliwa na kisha kuchapishia na wengine