Msaada: Mapenzi na masomo


Hebu ni PM
 
Huyo kijana sio husband material
 
Huyo kijana sio husband material

nikweli mkuu yaan mtu ukiwa nae mpaka unasikia umebeba tufe kichwani ila ukmwacha moyo unaamani ajab.
 
Yaani mie ndio nimechoka hadi nimehairisha kushauri...

kwanini mkuu? Ushauri/maon na mengine kutoka kwako/kwenu ndio sababu yakuanika hadharan yanayonisibu.
 
Pole ila mi nafikiri kitu cha msingi achana nae, tulia kabisa wakati unasubiri ambaye Mungu amekupangia
 
nikweli mkuu umenena.

Ujue haya maisha mafupi sana kuishi ukiwa na stress.kitu cha msingi hakikisha na wewe unajitunza na ni mwanamke unayeoleka,mambo yatakuwa poa,cha msingi uwe unausoma upepo sometimes umdhaniaye ndiye kumbe siye, anaweza kuja mtu usimuelewe kumbe ndo anayekufaa.MUOMBE SANA MUNGU
 
Umeandika ukiwa kwenye guta dogo, tulia uandike tena.
 
ASANTENI wakuu woote wa jf kwa michango yenu MUNGU Awabariki
 

umzaniaye ndiye kumbe siye
kweli huu msemo unakuta mtu mpole ingia uone ni balaa na akiwa mcharuko huyo dakika m1 unaweza pata hata kibao mbele za marafk, akiwa wa kati yaan mcharuko na mpole kwa kias hawaelewekag kitabia, aah!.
 
HUNYU unajua adi nimecheka kweli hi ni jf haswa, neno lipi sahih apo kati ya GUTA na kuta!
 
MO 11, nimekupata AMENI na barikiwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…