Msaada: Mapenzi na masomo

ragin

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2015
Posts
7,391
Reaction score
9,388
Habari wakuu.

Naomba msaada juu ya hili, kupata mpenzi wakati mnasoma mkiwa na lengo moja la kuoana baada ya masomo.Ni hivi Mchumba tuliyependana wakati tunasoma tuliheshimiana vizuri hakunigusa sikumgusa mpaka tunamaliza masomo . Baadae kila mtu kwao.

Ila wakati tupo mbali mawasiliano yalipungua hapigi/hapokei simu wala message hajibu/kutuma akijbu we ni malaya koma kutusumbua tumepumzika.Iliniuma nikammwaga chini,ajabu miezi miwili tu message zikaingia nyingi, nina hamu na wewe,twende room nakutaka tuonane.

Nilipomwona tu nkamuuliza juu ya message za awali, alikana si yeye na kuwa watu wanashikaga simu yake wengi nikamsamehe cause nami yanaweza tokea kwangu ila room no!no! akarudi mkoani kwao.

Tatizo akiwa mbali mawasliano yanakufa, kinachoniudhi akitaka tuonane ye n room tu hapangilii mambo mengine ya maendeleo.Pia akituma message ni ya shida za room tu otherwise no communication.

Kiukweli siyaelewi haya mapenzi yaani ukiwaacha mnaosoma nao unajishaua, ukiwafuata mwisho wa siku ndio huo hupati mlengwa.Ukifuata mtaani mara kachokwa chuoni/katumika sana,ukikaa single anagundu,mara wasomi wanabagua.
 
Mengine yatakushinda dogo
 
Pole eeh..jitahidi ukae utulie alafu baadae labda utaweza kuzitumia vizur batani...nmetumia nguvu nyingi saana kusoma ulichoandika
 
Chuo gani unasoma?
huwezi andika vizuri?
nshamaliza. ungekuwa ww sjui ungejsikiaje ukiwa ktka hal hii! Isitoshe nimebana maneno ili kutochosha watu.
 
Pole eeh..jitahidi ukae utulie alafu baadae labda utaweza kuzitumia vizur batani...nmetumia nguvu nyingi saana kusoma ulichoandika
asante ndugu na samahan kwa mwandiko nlikuwa0najtahd kubana maandish ili nisichoshe watu.
 
nshamaliza. ungekuwa ww sjui ungejsikiaje ukiwa ktka hal hii! Isitoshe nimebana maneno ili kutochosha watu.

mimi kwa huu uandishi ndio umenichosha kabisa....
 
Wewe ni me au ke?
rudia habari yako alafu edit ili ieleweke
 
Asante saana...ila lisilofichika uyo mpenziyo atakuwa na mtu mwingine huko aendako ndo maana huwa anakusahau. Ila mkiwa wote anakuitaita saana kwa sababu aliemuacha huko nae yupo mbali.
 
Mengine yatakushinda dogo

sawa mkuu! Ila kumbuka ukikazana kusoma na ukawapa kisogo wanaokutokea wakati huo na mpaka umalize chuo fani kama za udaktar nk zenye kusoma mda mref ad unazeeka itakuwaje?
 
Asante saana...ila lisilofichika uyo mpenziyo atakuwa na mtu mwingine huko aendako ndo maana huwa anakusahau. Ila mkiwa wote anakuitaita saana kwa sababu aliemuacha huko nae yupo mbali.

mh! asante nimekuelewa mkuu.
 
hapo hautakiwi mdogo wangu....mana mawasiliano kwenye mapenzi ni mhimili muhimu sana.......na kuwafanya wapenzi kuwa karibu......sasa kama hakuna mawasiliano......ujue hautakiwi......
 
hapo hautakiwi mdogo wangu....mana mawasiliano kwenye mapenzi ni mhimili muhimu sana.......na kuwafanya wapenzi kuwa karibu......sasa kama hakuna mawasiliano......ujue hautakiwi......

asante sana mkuu
 
Wewe ni me au ke?
rudia habari yako alafu edit ili ieleweke

mkuu samahan kwa ufupisho wa maneno ni katika kupunguza maneno mengi nakutokuchosha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…