Ndugu nilituma maombi chuo cha ardhi kila kitu kilienda sawa ila hapo kwenye TCU status nimeshindwa kupaelewa tatizo ni nini iliniweze kurekebisha maana first round selection nimekosa nataka nijaribu round ya pili
Nilivyoisoma mimi inaonyesha TCU status yako hujawahi kudahiliwa huko nyuma. Kama ni hivyo hakuna tatizo, Utakuwa umekosa kwa sababu nyingine-chuo cha Ardhi kinatakiwa kukuambia kwa nini umekosa.