Jamani nataka kununua gari kwenye hii kampuni www.beforward.jp, Kwa yoyote ambaye alishawahi kununua gari hapa anieleze kama hii kampuni iko bomba kuanzia gari zake (Kama zina good quality) Je kampuni siyo ya kitapeli. Hint: nimeona gari zao ni bei ya chini ukilinganisha na kampuni nyingine kama Autorec
Thats nice company.mm nimenunua gari kupitia hao jamaa na nikamwagizia rafiki yangu pia. Gari zilifika salama na wanakupa updates kila mara. Wako very systematic na hawana uswahili na bei zao ziko fair
Autorec nao wazuri ila expensive, Beforward very cheap, very fast and reliable. (Angalizo, kuna fraudster anajiita beforward na nembo zilezile, so kuwa mwangalifu.) Binafsi nimefanya nao biashara sana na bado nawatumia.