Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga

Msaada: Mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga

Saraaah94

New Member
Joined
Sep 26, 2017
Posts
4
Reaction score
2
Hello guys

Jamani nina shida jamani mama yangu anasumbuliwa na maumivu ya nyonga na miguu. X-ray inaonyesha kwamba mifupa ya nyonga imepekecha jamani imefika hatua now anashindwa kabisa kutembea huku amenyooka yaani anainama.

Kwa yeyote anayejua dawa jamani msaada
 
Nyonga imepekecha? Ni ugonjwa gani huo? Kwanzia nimeanza uzazi nyonga inasumbua sana yani
 
Ugonjwa unaitwa Osteoporosis, lack of Calcium kwenye mifupa
 
Back
Top Bottom