Pole Sana mkuu, hakika mama anaumiza sana akiugua.
Nenda kajaribu kumpima homa ya mifupa au malaria ya mifupa (kuna malaria ya kawaida, ya mifupa na ya tumbo. Pia kuna homa ya kawaida na homa ya mifupa). Hizi hua zina wakimbilia watu wazima pindi mifupa inapoanza kuchoka.
Mungu akusaidie umtibu bi mkubwa wako