Msaada: Mama Mkwe ananitesa kisaikolojia

Watu wa Kigoma mmekuwa hivi siku hizi?

Pole sana mdau naamini Mungu atakushindia
 
Kaachini na mkeo umeweleze au kama anayajua usikie ushauri wake,kama anataka kwenda na mama yake usimbanie mpe nauli tena wasindikize mpaka Ubungo kuonyesha msisitizo kua hujanuna yote ni majaliwa ya mwenyezi mungu.
 
Peleka hilo jambo kwa viongozi wako wa kiroho watakusaidia sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…