NyangetaMhhh kuwa na Amani na kama ataondoka amini hakuwa fungu lako
Chama la bachela au vipi??Mwanaume kamili huwezi lalamika jambo kama hilo... mambo kama hayo umemruhusu mpka mkwe wako kukuamulia? Ka vp mpe mwanae aondoke naye... tunakukaribisha kweny chama letu japo uliasi
Kwani Mkeo anasemaje kuhusu hilo swala lako?? Mbona huyo Mama mkwe kama anakupanda kichwani na anakuwa na kiherehere hivyo kudadeki [emoji40][emoji51]Baada ya kukumbwa na upepo wa kutumbuliwa kibarua changu, hali yangu kiuchumi imeyumba mno kwani kwasasa mambo yangu mengi hayaendi, wale waliokuwa wananitegemea ikiwemo mama mkwe wangu siwatumii tena vijisenti. Sasa toka wiki iliyopita mama mkwe yupo hapa nyumbani akicheki menyu yenyewe inalegalega dagaa mchana kwa usiku.
Amenipa ultimatum, nimuache mwanae kwani ninamtesa mwanae na yeye kiujumla, amenambia kufikia mwisho wa mwezi huu niwe nimetoa talaka la sivyo ataenda kwa mganga kuniloga nife ili mwanae aolewe na wenye pesa. Wadau nifanyeje maana mama mkwe ndio huyo katoa kauli yake na kesho yeye anaondoka kurudi kijijini Buhigwe mkoani Kigoma.
..Amenipa ultimatum, nimuache mwanae. Amenambia kufikia mwisho wa mwezi huu niwe nimetoa talaka la sivyo ataenda kwa mganga kuniloga nife ili mwanae aolewe na wenye pesa.
NimekupendaKama wewe na mkeo mnaelewana mpuuzie tu mama mkwe! Kwani hana kwake? Akichoka kula dagaa asepe tu. Wamama wengine wameharibu ndoa zao basi hawatulii mpaka waharibu na za watoto wao! [emoji51][emoji51][emoji51]