Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,435
premium ina range kwenye 125,000-130,000, compact 45,000. inategemea na kupanda kwa dollar
mkuu leo ni 126000, nimewapigia ndo walichoniambiapremium ina range kwenye 125,000-130,000, compact 45,000. inategemea na kupanda kwa dollar
Wapigie kwa namba 0787600096 wanapatikana
mkuu leo ni 126000, nimewapigia ndo walichoniambia
Lipia compact plus ni nzuri sana unapata 90% ya footbal kama wewe ni mpzenzi wa mpira.
premium ina range kwenye 125,000-130,000, compact 45,000. inategemea na kupanda kwa dollar
Haya malipo kwa kutegeme na exchange rate ya dollar tanzania yataisha lini? Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa hili swala lilishajadiriwa bungeni na waziri mkulo akasema hairuhusiwi na inatakiwa kuachwa mara moja!! Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi, nani mwenye jukumu la kufuatilia utekelezaji wake? Mbona I.M.T.U watoto wa maskini wanalipizwa tuition fees kwa dollar? Mnisaidie wana JF.
Jamani mbona hawa jamaa wana gharama kiasi hicho? Hivi haiwezekani kuchakachua hizi decorder za hawa jamaa kama wanavyofanya kwenye umeme?
Jamani mbona hawa jamaa wana gharama kiasi hicho? Hivi haiwezekani kuchakachua hizi decorder za hawa jamaa kama wanavyofanya kwenye umeme?