Jocasta
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 474
- 588
Mrs wangu ana ujauzito wa miezi 6, juzi akisumbuliwa na tumbo La kuharisha ikabidi nimpeleke hospitali ya private
Daktari akashauri afanyiwe Vipimo, ambapo hakukutwa Na Malaria, wala UTI
Kuhusu ultrasound wakasema kuwa placenta(mfuko wa maji) imesogea karibu na mlango wa uzazi,ambao umefungwa hadi sasa, wakasema hiyo ni mbaya Sana kwa mjamzito inaweza sababisha matatizo ya Mimba
Mwenye kujua Haya mambo vizuri naomba anieleweshe vizuri Kama hicho kitu kina matatizo Kwasababu Mimi Najua kuwa kwa miezi sita mwili huwa unajiandaa kumtoa mtoto(kuzaliwa) Msaada tafadhali