mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,161
- 802
Huu si ujambazi.. Jambazi anabeba silaha na ukileta fyoko anakumaliza... Huo ni wizi wa kiinimacho.. Unapumbazwa kwa muda na kufanya kile atakacho aliyekupumbaza... Maranyingi huchukua nususaa mpaka lisaaHabari wanajukwaa. Moja kwa moja Niende, Kwenye Hoja, kuna watu wanaosadikika kukusimamisha kukuongelesha na utakwenda wanakotaka na utawakabidhi wanachotaka, baada ya hapo fahamu zinakurejelea. Mshana Jr huu utaalam unaujua. Tafadhali mwenye ujuzi wa haya mambo na namna ya kuepuka wizi unaofanana na hili.
Senario: Mama mmja aliibiwa, alisimamishwa na watu aliowataja kuwa vijana wa makamo, hakujua walimuongelesha nini, alipatwa na ufahamu baadaya kuwapa fedha wakitokomea kusikojulikana.
kAZI KWENU WAJUZI....NAWASILISHA
huu wa kiini macho tunauepukaje? kama first aid? Nikiimaanisha kabla hawajaniwahi nifanyeje?Huu si ujambazi.. Jambazi anabeba silaha na ukileta fyoko anakumaliza... Huo ni wizi wa kiinimacho.. Unapumbazwa kwa muda na kufanya kile atakacho aliyekupumbaza... Maranyingi huchukua nususaa mpaka lisaa
Mwingine ni ule wa kuchomewa manyoya ya fisi dirishani... Utalala usingizi wa pono... Wanaweza kuchukua mpaka nguo ulizovaa
Usikubali kamwe kupeana mkono na mtu usiyemjua.. Nguvu ya kukupumbaza iko kwenye mkono wakehuu wa kiini macho tunauepukaje? kama first aid?
Mosie HongeaUsikubali kamwe kupeana mkono na mtu usiyemjua.. Nguvu ya kukupumbaza iko kwenye mkono wake
Dah kumbe ni mndughu... Haya teeka nitikomeane mbui vyediMosie Hongea
una bapa la ngapi mkuuLala na msokoto wa bangi
haya mnghoshiDah kumbe ni mndughu... Haya teeka nitikomeane mbui vyedi
Mkuu hasa hapo kwenye kuwajibu....ndio shida ilipo..utawajuaje? Lakini Mkuu Mshana amejibu hapo, .... Usimpe mkono mtu....., kwa maana kwamba hata kujibu jibu ni kosa nahisi hivyo(ni kama kumpa mtu ushirikiano)Hii kitu ipo sana, kuna mama yangu mdogo mmoja Morogoro aliwahi kuwapa elfu hamsini, TV na Kompyuta bila kujielewa. Juzi juzi hapa nimesikia imetokea Arusha city. Wakikusalimia kwa kukushika mkono au ukiwajibu tu umepumbazwa
Wana maswali ya mtego na kujifanya ni wageni wanaulizia njia hata ukiwajibu wakikushukuru kwa kukupa mkono potezea ndio pona yakoMkuu hasa hapo kwenye kuwajibu....ndio shida ilipo..utawajuaje? Lakini Mkuu Mshana amejibu hapo, .... Usimpe mkono mtu....., kwa maana kwamba hata kujibu jibu ni kosa nahisi hivyo(ni kama kumpa mtu ushirikiano)
Je kwa mfano nawapa mkono huku nimevaa gloves bado dawa inapenya kwenye gloves?Usikubali kamwe kupeana mkono na mtu usiyemjua.. Nguvu ya kukupumbaza iko kwenye mkono wake
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo utatembea na gloves?Je kwa mfano nawapa mkono huku nimevaa gloves bado dawa inapenya kwenye gloves?
Ushakuwa ujinga sasa mkuu,inabidi niende kama goli kipa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kwahiyo utatembea na gloves?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ukienda hivyo hukutani naoUshakuwa ujinga sasa mkuu,inabidi niende kama goli kipa.
Kisambaaa is strictly prohibited in here! Muongelee huko huko kwesimeDah kumbe ni mndughu... Haya teeka nitikomeane mbui vyedi
[emoji15] [emoji15] ni Kwesimu sio kwesimeKisambaaa is strictly prohibited in here! Muongelee huko huko kwesime