unge google kisha ukaangalia mawasiliano yao wakakuelekeza kutokana na shida yako mfano makao makuu yako sayansi karibia na chuo cha ustawi wa jamii, hii ni maalum kwa ajili ya shughuli za ki utawala, pia kuna tawi mbezi beach na kinondoni ambayo ni legal klinik ukiwa na shida binafsi ya msaada wa kisheria unakwenda.Heshima kwenu wadau
Naomba kuelekezwa mahali zilipo ofisi za Kituo cha Sharia na Haki za Binadamu(Law and Human Rights Centre) ............
Natanguliza shukrani
Issue yangu sio kutaka msaaada wa kisheria......Kuna kitu muhimu nafuatiliaunge google kisha ukaangalia mawasiliano yao wakakuelekeza kutokana na shida yako mfano makao makuu yako sayansi karibia na chuo cha ustawi wa jamii, hii ni maalum kwa ajili ya shughuli za ki utawala, pia kuna tawi mbezi beach na kinondoni ambayo ni legal klinik ukiwa na shida binafsi ya msaada wa kisheria unakwenda.
Sent from my TECNO S9 using JamiiForums mobile app
Pia Kama unataka msaada wa kisheria fika udsm katika kitivo cha sheria kwa siku za ijumaa pekee.