Ni In Transt ( IT )International transport
Ni In Transt ( IT )International transport
ni magari ya Information TechnologyHizo IT ndio magari gani mkuu?
Ok mkuuNi In Transt ( IT )
Usalama wa kutosha mkuu bora upande IT kuliko gari lililo sajiliwa, Unajua kabisa huyu kaajiriwa kwa ajili yakufikisha gari na hawezi fanya issue nyengine yakipuuzi nishapanda sana hayo magari na cash money zakutosha kwenda mkoa kwa business issue.Vipi kuhusu usalama?. Unapanda gari la mtu humjui, halafu yeye ndio dereva na hujui amebeba nini wala anawaza nini...... Hata akifuta dashboard huwezi kumwambia chochote