The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,457
Wadau naomba mtu anayefahamu magari ya kwenda Mwanza usiku.
Ukiwa na shida ya Kusafiri Fanya hivi Panda gari nenda mbezi stendi mpya yaagufuli utakaa hapk nje hautakosa gari la It has wakati wa jipni utafanya hivyoWadau naomba mtu anayefahamu magari ya kwenda Mwanza usiku.
Asantee mkuuKama upo Dar es Salaam, nenda pale Petrol station - Chang'ombe, nyingi zinaanzia safari hapo.
Asantee mkuu ngoja nijaribuUkiwa na shida ya Kusafiri Fanya hivi Panda gari nenda mbezi stendi mpya yaagufuli utakaa hapk nje hautakosa gari la It has wakati wa jipni utafanya hivyo
Petrol station ya wapi?maana chang'ombe kubwaKama upo Dar es Salaam, nenda pale Petrol station - Chang'ombe, nyingi zinaanzia safari hapo.
Mataa ya veta hapo ambapo panajengwa fly over hiyo petrol station ni oil com..Petrol station ya wapi?maana chang'ombe kubwa
Hizo IT ndio magari gani mkuu?Mataa ya veta hapo ambapo panajengwa fly over hiyo petrol station ni oil com..
Hapo kuna IT nyingi sana na ndipo madereva wengi WA IT wanakutana na magari yao
Mataa ya VETA kuna sheli upande wa kushoto kama unashuka VETAPetrol station ya wapi?maana chang'ombe kubwa
Siyo sheli, ni kituo Cha mafuta Cha kampuni ya oil com siyo kampuni ya shell.Mataa ya VETA kuna sheli upande wa kushoto kama unashuka VETA
Ni gari zinazosafirishwa kutoka bandarini kwenda kwa muhusika inaweza kuwa ndani ya nchi au nje ya nchi, ila nyingi zinakwenda nje ya nchi.Hizo IT ndio magari gani mkuu?
Mkuu umenielewa nilichokiandika.? Tumezoea kuita vituo vya mafuta "sheli" na si kampuni.!Siyo sheli, ni kituo Cha mafuta Cha kampuni ya oil com siyo kampuni ya shell.
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Hakuna IT inayofika Mwanza zote zinaishia njia panda ya kuelekea kahamaWadau naomba mtu anayefahamu magari ya kwenda Mwanza usiku.
bora umenisaidiaHizo IT ndio magari gani mkuu?
Ni magari ambayo yanasafirishwa nje ya nchi kupitia bandari yetu ya DAR hili neno IT nahisi ni INTERNATIONAL TRANSPORTHizo IT ndio magari gani mkuu?
International transportbora umenisaidia
Inamaanisha in-transitNi magari ambayo yanasafirishwa nje ya nchi kupitia bandari yetu ya DAR hili neno IT nahisi ni INTERNATIONAL TRANSPORT