Kichwa cha mada hakiendani na yaliyomo. Anyway BENCH POWERSUPPLY zinapatikana kwa wanouza vifaa na spea za electronics. Nimeona Rework stations ambazo zinakuja na adjustable psu kwaajili ya shughuli za electronics 0v to 30v kama hivyo.