Inawezekana ndio cha kufanya unaenda tawi la nssf karibu yako na documents zako zote....kisha wao wanakitengo kinaitwa benefits kipind wana verify michango yako watakuta hawana taarifa zako za malipo kwao katika records zao, ndipo wataangalia namba ya mwajiri wako watakuta ni mkoa mwingine wao ndiposa wqo wanatuma fax kwa tawi lako ulilokua unalipia awali kuomba taarfa zako za michango....kisha wao kule wata verify michango yako na kuwarudishia majibu ya michango yako kwa njia ya fax pia baada ya hapo unasubr mpunga wako....