Asante mkuu ngoja niingie kwenye linkIngia hapa kufungua page Créer une Page | Facebook
wana maelezo mengi ya kutengeneza page hapa Configurer votre Page
Ukishatengeneza page tu, kitu cha kwanza utachoona ni "boost this page" hapo ndipo una ongeza like ya page yako.
Ukipost chochote utaona link ya "boost this post" hapo ndipo unapo tangaza post na kupata wateja zaidi
Halafu Michael Mkwanzania sikuizi sipati email za zako za muendelezo wa story yako ya online bussinessIngia hapa kufungua page Créer une Page | Facebook
wana maelezo mengi ya kutengeneza page hapa Configurer votre Page
Ukishatengeneza page tu, kitu cha kwanza utachoona ni "boost this page" hapo ndipo una ongeza like ya page yako.
Ukipost chochote utaona link ya "boost this post" hapo ndipo unapo tangaza post na kupata wateja zaidi
Asante mkuu ngoja niingie kwenye link
Halafu Michael Mkwanzania sikuizi sipati email za zako za muendelezo wa story yako ya online bussiness
Bei gani kwa post moja
Asante sana kaka u r my role model kwenye hizi kazi najua we ni mzoefu nitakua nakujulisha kwa kila hatua ninayoifikiaalso ku note ili kutangaza kwenye facebook ama instagram inabidi uwe na kadi ya benki yenye uwezo wa viza ama mastercard.
Ingia hata google kuna maelezo mengi sana. achana na watu wanaokwambia wana page za watu laki ngapi sijui, facebook ni wafanya biashara wana taka kila mtu alipe. Page ya jumia ina like milioni tatu lakini bado wanatangaza, kwa nini? cheki page yao hapa Jumia Market | Facebook kila post ina like 4 hadi 5 mwisho ishirini na kitu.
Facebook hata uwe na like milioni ngapi, wataonesha post yako kwa chini ya asilimia 2.6 tu ya watu waliolike page yako, then kuna mahesabu yao mengine lakini kamwe haiwafikii watu wote, hii ndio njia yao ya kupigia hela, lakini inafanya kazi vizuri ukiijulia.
Kingine ni kwamba, facebook unachagua unamtangazia nani, kama unauza bidhaa kwa watoto, unachagua utangaze kwa wamama wenye watoto tu waliopo mkoa ulipo. inafanya kazi vizuri sana system yao na its very cheap, unaweza anza kutangaza kuanzia dola 5 ambayo ni kama elfu 12. utawafaikia watu elfu kadhaa kwa hiyo dola tano.
anyway, i hope hii itasaidia.
Mkuu na mm nafanyia biashara ya nguo za watoto let's see tunasaidianaje kuwafikia wateja tuwasiliane 0716973403 whatsaapWasalaam,
Mimi ni mjasiriamali mdogo nina shughulika na kuuza nguo za kike na za watoto pamoja na urembo, nimekuwa nikitangaza biashara yangu kupitia facebook acc ya kawaida ila naona sasa wateja wakununua hakuna kwasababu kila siku ni mafriends wale wale, nataka nifungue page maalumu ambayo nitakua nalipia ili niweze kutangaza na kuwafikia watu/wateja wengi zaidi.
Natanguliza shukurani.
Kumbe mkuu tuelekezane maujanja basiLipia na card yako ya bank fb ni rahis na utauza adi uchanganyikiwe ujue tu watu wanataka nini kulingana na vipindi.....Mimi tangu nimejua kulipia huko aku nakula kilain
Mkuu tupeane hayo maujuzi sasaalso ku note ili kutangaza kwenye facebook ama instagram inabidi uwe na kadi ya benki yenye uwezo wa viza ama mastercard.
Ingia hata google kuna maelezo mengi sana. achana na watu wanaokwambia wana page za watu laki ngapi sijui, facebook ni wafanya biashara wana taka kila mtu alipe. Page ya jumia ina like milioni tatu lakini bado wanatangaza, kwa nini? cheki page yao hapa Jumia Market | Facebook kila post ina like 4 hadi 5 mwisho ishirini na kitu.
Facebook hata uwe na like milioni ngapi, wataonesha post yako kwa chini ya asilimia 2.6 tu ya watu waliolike page yako, then kuna mahesabu yao mengine lakini kamwe haiwafikii watu wote, hii ndio njia yao ya kupigia hela, lakini inafanya kazi vizuri ukiijulia.
Kingine ni kwamba, facebook unachagua unamtangazia nani, kama unauza bidhaa kwa watoto, unachagua utangaze kwa wamama wenye watoto tu waliopo mkoa ulipo. inafanya kazi vizuri sana system yao na its very cheap, unaweza anza kutangaza kuanzia dola 5 ambayo ni kama elfu 12. utawafaikia watu elfu kadhaa kwa hiyo dola tano.
anyway, i hope hii itasaidia.
Nashindwa naanzia wapi kukuelekeza, ila una page fb au insta ndo tuanzie hapoKumbe mkuu tuelekezane maujanja basi
Sins cha page inster wala fb sina ndo nataka nipate elimu nifungueNashindwa naanzia wapi kukuelekeza, ila una page fb au insta ndo tuanzie hapo
Fungua page huko ukishafungua...nenda equity bank fungua acount hata 20,000/ then Nitafute nikuelekezeSins cha page inster wala fb sina ndo nataka nipate elimu nifungue