marandu2010 JF-Expert Member Aug 7, 2010 1,201 446 Jun 7, 2016 #1 naomba kujua wakuu..basi la dodoma la mwisho huondoka saa ngapi pale ubungo?
Mjamaa1 JF-Expert Member Apr 9, 2013 7,512 5,870 Jun 7, 2016 #2 Sina uhakika ila mpaka sa sita unapata gari
C chini ya muti JF-Expert Member Mar 16, 2016 245 142 Jun 7, 2016 #5 saa nane na nusu shabiby, pia waweza panda azam kilimanjaro IV .... hahahaaaaa.......