Msaada:Maana ya gegedo,dushe,papuchi

kzba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,355
Reaction score
793
Nimeona niyalete hapa kwa sababu hutumika sana jukwaa hili ingawa nafahamu ilikuwa ni peleke jukwaa la lugha.

Swali;tofauti na tunavyoyatumia hapa, nini maana halisi ya neno gegedo, dushe na papuchi.

Nawasilisha.

Kzbamkojo s/o kzba.
 
gegedo.... kiungo kinachotumika kugegeda
dushelele..... kiungo kitumikacho kusherehesha
papuchi..... kiungo kitumikacho kugegedwa
 
gegedo = ni tunda la mmea uitwao mdodo ambalo liko kama tango ndani yake linavinyuzi nyuzi fulani hutumika kusugulia mwili ili kuwa safi
dushelele = kufurahi/kuwa na furaha au kuwa na mbereko nyingi ili mradi nafsi yako imefurahishwa
papuchi = chupi + vua
 
Labda bado sijaeleweka wadau
Ni kwamba hizi terminology huwa tunazitumia sana hapa kwa kumaanisha vitu flani kama lugha ya picha, mimi ninachohitaji kufaham ni kama kuna maana halisi kwenye lugha tofauti na vile tunavyotafsiri sisi hapa jukwaani

Asanteni
 
gegedo.... kiungo kinachotumika kugegeda
dushelele..... kiungo kitumikacho kusherehesha
papuchi..... kiungo kitumikacho kugegedwa

Ha ha haaaaaa haaa mulemule fbi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…