Msaada: M-pesa Confimation code inakataa NACTE

Auncle Ajay

Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
41
Reaction score
13
Wadau naombeni msaada code za mpesa nilizotumiwa zinaanza na 3GA3..... hazikubali kufungulia account. Nifanyeje wakuu?
 
Tatizo hili limenikumba asubuhi nikiwa namfanyia application jamaa yangu.
 
Sasa umefanyage ww mkuu coz ata mm namfanyia bwana mdg wng... Imenigomea kabisa
 
Subirini baada ya muda kidogo wataiweka kwenye system ndo itakubali mi jana ilizingua masaa 7 baadae ikakubaliwa hiyo inayoanza na namba
 
Hivi wale waliomaliza form six nao wanaingia pale pale NACTE CAS? Msaada jamani
 
m nilimfanyia ndug yangu nlikaa kama dakka 10 ikakubali
 
Wadau naombeni msaada code za mpesa nilizotumiwa zinaanza na 3GA3..... hazikubali kufungulia account. Nifanyeje wakuu?
nilikua namsaidia dogo, ikawa inakataa....we jaribu tu mara kwa mara itakubali, hakikisha hukosei namba
 
Application za Nacte zinalipiwa shilingi ngap..??
 
Wadau naombeni msaada code za mpesa nilizotumiwa zinaanza na 3GA3..... hazikubali kufungulia account. Nifanyeje wakuu?

Ni kwa mkopo aama TCU? hizi code baada ya tu kuzipata usikimbilie kujaza form kwanza subiri kama dak10 or 15 ndo anza kujaza, ukifanya pupa itakataa then usubiri kwa 2hrs tena na ukiitia kabla pia itakataa tena keep calm.
 
Subirini baada ya muda kidogo wataiweka kwenye system ndo itakubali mi jana ilizingua masaa 7 baadae ikakubaliwa hiyo inayoanza na namba
mimi inaniandikia kuwa niangalie kwenye inbox ya email au nitatumiwa SMS kutoka nacte ambayo itakuwa na username pamoja na password lakini nimeangalia kote hawajanitumia username wala password
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…