Wataalamu wa hizi app nimejaribu kudownload hii app lakini uingia play store sehemu iliyoandikwa play protect kuna maandishi kwenye hii lucky patcher yameandikwa harmful app sasa ninaomba kujua kama hii program ni salama au si salama.
luckypatcher ni salama ila google wanaiona harmful kwasababu inavunja sheria zao kama kucrack baadhi ya app na kuondoa matangazo ya google kwenye device yako
luckypatcher ni salama ila google wanaiona harmful kwasababu inavunja sheria zao kama kucrack baadhi ya app na kuondoa matangazo ya google kwenye device yako