Inategemea na simu na version ya android na app yenyewe.
Nenda kwenye setting application kisha chagua app unayotaka kuiweka SD card kama kuna option ya Move basi inaweza kwenda SD kama hakuna haiwezi, hapo ni kudelete baadhi ya apps tu hakuna jinsi.