How much is your bajeti? Last time nililala African Dreams. Kwa mandhari ni pazuri Kiukweli (I may reluctantly add sana). Accommodation ni pazuri (I will not add sana). Again it depends on your standards. Lakini manager wake yule Mzungu ni very good man. Alinisaidia gari yangu ilipata flat tyre....na nilifika late lakini alihakikisha naandaliwa chakula. He was extremely friendly and helpful. In all I liked the place. If I was traveling through Dodoma again (mji wa watu wasiojulikana), ningelala pale tena.