Natarajia kwenda shinyanga wiki ijayo. Naomba kujua Guest/Lodge au hotel nzuri ya gharama kati ya 20,000 na 30,000 kwa siku. Mimi ni mgeni kabisa Shinyanga.

Pale kuna moja ambayo ina mgahawa alafu mbele kidogo karibia na stand ya zamani kuna Malekos, kuna guest bubu moja maeneo hayo inaitwa mapenzi full dada poa