Msaada: LG G3 ni bei gani

Msaada: LG G3 ni bei gani

Niliona inauzwa 750,000 LG G3. Ila me nashauri uende LG G4 mkuu maana G3 shape yake sijaipenda sana especially back buttons zake zilivyokaa.
LG G4 imechukua shape ya LG G2 zile buttons za nyuma.
 
Duka gani hilo mkuu umeona kwa bei hiyo? Naitaka sana hiyo simu. G2 niliona inauzwa 720.
 
mkuuu nimekutana na copy ya hiyooo LG G3... mmmhh hataree sanaa.. kuna ndugu yangu kapigwa kwa laki tatu... mwenyewe akajuaa ya dili ameletewaa... kuja kuichek fresh kumbe copy...... huweni makini wa jf....
ngoja ntaipiga pichaaa muione..
 
liki saba na nusu unapata mpya dukani,hapa kwetu zanzibar,ila huko dar jaribu kuangalia but kuwa mkini na copy
 
mkuuu nimekutana na copy ya hiyooo LG G3... mmmhh hataree sanaa.. kuna ndugu yangu kapigwa kwa laki tatu... mwenyewe akajuaa ya dili ameletewaa... kuja kuichek fresh kumbe copy...... huweni makini wa jf....
ngoja ntaipiga pichaaa muione..
copy unaijuaje?
 
copy unaijuaje?

ngoja nikuambie kitu mkuu...

unaweza ukaonana na mtu hapa jf.. labda anauza simu na wewe unataka kuinunua,,
mmmeonana unaanza kuikagua,, yawezekana yeye anajua ni copy bt kukuambia ni ishu,, or yeye aliponunua hakujua kama ni copy alipigwa bei so anataka arudishe atleast ile gharama yake..

binafsi naanza na camera..

kama lg g3
CAMERA yake ya nyuma ni 13 MP, 4160 x 3120 pixels, phase detection/
laser autofocus, optical image stabilization,
dual-LED (dual tone) + flash
jaribu kupiga picha mbili tatu..
sasa kama unaonana camera yake inakupa mashaka utakuwa ume note kitu tayari..

then Front camera ya LG G3 ni 2.1 Mp
usiache kujaribu kupiga picha hata nne or tano

Then binafsi huwa nacheck internal storage..
Lg G3 zipo aina mbili kuna moja ina
16 GB, with 2 GB RAM

na nyingine 32 GB, with 3 GB RAM

nenda setting>> then >> application manager anagalia used space na free space...

Pia Zima simu ( not turn off ) i mean kioo kiwe off.. Fake zinakuwa na grey colour while kioo kikiwa off..
mimi nayajua hayo mkuu...

Ila huyu jamaa Chief-Mkwawa ningeomba u
atupe mautundu zaidi..
ymollel na wewe nakuombaa hapa
 
Last edited by a moderator:
Duka gani hilo mkuu umeona kwa bei hiyo? Naitaka sana hiyo simu. G2 niliona inauzwa 720.

We unataka G2 au G3? Mkuu G2 kwa hiyo bei (720k) unaibiwa sana. Sana. G2 maximum 450k.

Ukitaka G2 inbox me kuna mtu anazo nitakuunganisha kwa bei ya 450-480 hivi.
 
mkuuu nimekutana na copy ya hiyooo LG G3... mmmhh hataree sanaa.. kuna ndugu yangu kapigwa kwa laki tatu... mwenyewe akajuaa ya dili ameletewaa... kuja kuichek fresh kumbe copy...... huweni makini wa jf....
ngoja ntaipiga pichaaa muione..

Wife alipewa zawadi LG G3, copy, aisee kaka ukiitofautisha na G3 OG kwa kuiangalia huwezi huwezi kabisa.
Zinafanana balaa. Ila ukianza tu kubonyezs bonyeza screen unagundua.
Pia G3 copy haina double tap lo lock or unlock(knock on), camera poor kidogo, kioo king'avu sana, nyepesi kidogo, haina android 5.0 ina android kitkat,
 
ngoja nikuambie kitu mkuu...

unaweza ukaonana na mtu hapa jf.. labda anauza simu na wewe unataka kuinunua,,
mmmeonana unaanza kuikagua,, yawezekana yeye anajua ni copy bt kukuambia ni ishu,, or yeye aliponunua hakujua kama ni copy alipigwa bei so anataka arudishe atleast ile gharama yake..

binafsi naanza na camera..

kama lg g3
CAMERA yake ya nyuma ni 13 MP, 4160 x 3120 pixels, phase detection/
laser autofocus, optical image stabilization,
dual-LED (dual tone) + flash
jaribu kupiga picha mbili tatu..
sasa kama unaonana camera yake inakupa mashaka utakuwa ume note kitu tayari..

then Front camera ya LG G3 ni 2.1 Mp
usiache kujaribu kupiga picha hata nne or tano

Then binafsi huwa nacheck internal storage..
Lg G3 zipo aina mbili kuna moja ina
16 GB, with 2 GB RAM

na nyingine 32 GB, with 3 GB RAM

nenda setting>> then >> application manager anagalia used space na free space...

Pia Zima simu ( not turn off ) i mean kioo kiwe off.. Fake zinakuwa na grey colour while kioo kikiwa off..
mimi nayajua hayo mkuu...

Ila huyu jamaa Chief-Mkwawa ningeomba u
atupe mautundu zaidi..
ymollel na wewe nakuombaa hapa

Nimeipenda sana hii ya mwisho. Simu copy ukiwa umezima kioo hakiwi black. Very useful.

Pia G2 OG nyingi hazina Memory Card, ni models chache ndio zinazo I think version ya Korea sijui?
 
Last edited by a moderator:
Nimeipenda sana hii ya mwisho. Simu copy ukiwa umezima kioo hakiwi black. Very useful.

Pia G2 OG nyingi hazina Memory Card, ni models chache ndio zinazo I think version ya Korea sijui?

yeah mkuuu.. " Im telling you, they can clone everything
except the screen. If you see jagged or blurry
icons on the screen, there is a big chance that
thing is clone.... run away...
 
Vp kuhusu bei ya LG LTE??

Mkuu hapo hujaeleweka. Hakuna LG model ya LTE. Hiyo ni sifa ya simu tu. Sawa Nikuulize vipi LG ya 3G,

LG ina G series ambazo ni maarufu sana na G Pro pia. Models nyingine Tz kufila adimu coz wafanyabiashara wakienda wanaleta wanazohisi zitapendwa.
 
ngoja nikuambie kitu mkuu...

unaweza ukaonana na mtu hapa jf.. labda anauza simu na wewe unataka kuinunua,,
mmmeonana unaanza kuikagua,, yawezekana yeye anajua ni copy bt kukuambia ni ishu,, or yeye aliponunua hakujua kama ni copy alipigwa bei so anataka arudishe atleast ile gharama yake..

binafsi naanza na camera..

kama lg g3
CAMERA yake ya nyuma ni 13 MP, 4160 x 3120 pixels, phase detection/
laser autofocus, optical image stabilization,
dual-LED (dual tone) + flash
jaribu kupiga picha mbili tatu..
sasa kama unaonana camera yake inakupa mashaka utakuwa ume note kitu tayari..

then Front camera ya LG G3 ni 2.1 Mp
usiache kujaribu kupiga picha hata nne or tano

Then binafsi huwa nacheck internal storage..
Lg G3 zipo aina mbili kuna moja ina
16 GB, with 2 GB RAM

na nyingine 32 GB, with 3 GB RAM

nenda setting>> then >> application manager anagalia used space na free space...

Pia Zima simu ( not turn off ) i mean kioo kiwe off.. Fake zinakuwa na grey colour while kioo kikiwa off..
mimi nayajua hayo mkuu...

Ila huyu jamaa Chief-Mkwawa ningeomba u
atupe mautundu zaidi..
ymollel na wewe nakuombaa hapa

Mkuu hapo umeeleweka, kwa kutumia camera ni rahisi kujua kama ni OG au fake, Ukishapiga picha unafanya ku-ZOOM ili uone kama picha ni Blured, vitu vingine kama unaweza kuInstall CPU-Z inaweza kukuonesha aina ya chipset iliyotumika.
 
Kaka mi ninayo Lg G3 OG nauza bado ni mpia kabisa nimetumia miezi 3.Nauza laki 750.unaweza kuja kuikagua
 
Mm nina lg g3 ya korea line moja ni original pure bei 400,000 mwisho 380,000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom