Naomba msaada, nimenunua laptop ya toshiba satelite pro u500-EZ1321, shida ni kuwa siwezi kuaccess web cam direct , kama ilivyo kwenye oc nd laptop zingine
So nitafurahi kwa msaada wenu
software hizi hapa:Tafuta software inaitwa cybercam
nimejaribu kuitafuta bila mafanikio, kana uko na link yao ntashukuru kama utanitumia