Uncle Rukus
JF-Expert Member
- Jun 16, 2010
- 2,415
- 398
Bado upo mkuu...Mkuu vipi bado mzigo unao?
Bado upo mkuu...Mkuu vipi bado mzigo unao?
Dell D 620/630,bei : 460>laptop<600.Habari wakuu, naomba msaada wa ushauri nataka nunua laptop kwa matumizi ya kawaida, ipi ni nzuri na naweza pata wapi kwa DSM ambazo c fake. Please, help me.
Kwenye red: nina HP na Toshiba zote ni used ni zuri sana....Kama utahitaji unaweza kuni PM (private Message)
yapo sehemu gani kwa pale kariakoo?Ingia kariakoo kuna duka lipo nmb bank tawi la k.koo kuna wasomali flani..wana duka la laptop za ukweli