Sirdirashy
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 3,252
- 3,074
Nimenunua Laptop sjui ndo notebook aina ya Toshiba C50-B Model ilikuja na window 8 nikasema subiri nibadilishe window bcoz ngumu kutumia.
Sasa nimeweka Window seven ultimate kuna! haipunguziki mwanga kabisa yaan inamwanga mkali mpaka bas yaani kichwa na macho ndo yanauma nishaenda kwenye power option sijaona, nimeenda kwenye dislay sjaona,nimetumia shortcury fn+f6 hazisapport please wana wa it proffesional nisaidieni