Msaada;laptop yangu inafungua program zote kwa word pad mode

Cobyg

Member
Jan 15, 2011
10
5
naomba mnisaidie wana jf laptop yangu inafungua program zote kwa word pad,please naomba msaada wenu kwa hili.inatumia window 7 home basic
 
naomba mnisaidie wana jf laptop yangu inafungua program zote kwa word pad,please naomba msaada wenu kwa hili.inatumia window 7 home basic
Hiyo husababiswa na virus ambao wanabadilisha registry, sasa chakufanya nitaatach file ambalo utaliextract kisha run kila kifile kilichondani yake... kama utafanikiwa useme na pia kama utafail useme ili nikusaidie zaidi
https://dl.dropbox.com/u/47895855/All_Default_File_Extentions.zip

Ukimaliza uniambie ili nilifute ilo folder
 
Back
Top Bottom