grand casual
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 255
- 161
Jaribu kubonyeza (Fn + F9) mkuuwataalamu mje basi huku kutoa msaada na mniambie na mimi toshiba laptop ya kwangu hapa tunakopapasa pameacha kufanya kazi natumia mouse ya kuchomeka pembeni ni ugonjwa gani na tiba ikoje? nawasi wasi kama wataalamu wa humu ni washabiki wa yanga basi majibu tutayapata jioni.
Jaribu kubonyeza (Fn + F9) mkuu
Ndio Kuna vitaa vutatu vinawaka cha power button na cha chajimkuu jaribu kuangalia je inawsha taa yoyte, ukipress power button je feni zinazunguka? hiyo adapter ni nzima? battery je ni nzima? kama haiwaki kabisa basi imekufa motherboard unatakiwa kufikiria kupata laptop nyingine.
Nimejaribu mkuu haijawakaJaribu kubonyeza (Fn + F9) mkuu