The Stranger
JF-Expert Member
- Apr 25, 2013
- 274
- 253
Habari zenu wakuu, nawaomba sana kwa yeyote anaejua tatizo hili anisaidie.
Juzi nililala na kuiacha Laptop yang ikidownload movies, nimeamka asubuhi jana naikuta ikiwa on but screen ikiwa black pamoja na maandishi haya; "ZJIKL is compressed. Press Cntr+Alt+Del to restart", pamoja blinked cursor.
Nimepress Cntrl+Alt+del, inarudia kudisplay maneno yaleyale.
Nimedisconect adapter na kuondoa betri na kisha kuhold power button kwa sek.30 halafu na kurudisha power supply tena lakini hola!!!( kuna watu walinishauri nifanye hivi)
Juzi nilicompress local disc C kupata nafasi zaidi..Nahisi sijui hii ndio itakua imesababisha..sina hakika.
Laptop yenyewe ni Toshiba Satellite C650
Nawaomba wataalam wang mnisaidie mana hapa kadri siku zinavyozidi kwnda bila solution ndio nazidi kuchanganyikiwa.