wakuu naomba msaada wa kulitatua tatizo hili la laptop yangu kugoma kuzima. Kila nikitaka kuzima niki cick shutdown haijibu chochote had nizime kwa kutumia start buton. Na ikiwaka unakuja ujumbe wa cancell or force to shut down; natumia window7. Natanguliza shukran kwenu.