Msaada laptop imegoma kuwaka

Seaman

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
439
Reaction score
69
Nilizima haraka haraka ikiwa na low charge nilipowasha imegoma nikaweka charge ikagoma nimejaribu kutoa betri na kurudishia pia imegoma msaada pls
 
toa betri toa waya wa adapter ibaki bila supply. bonyeza kitufe cha kuwashia na ukishikilie kwa sek 45. kisha weka adapter bila betri washa mashine yako. zima kawaida urudishe betri.
enjoy!
 
toa betri toa waya wa adapter ibaki bila supply. bonyeza kitufe cha kuwashia na ukishikilie kwa sek 45. kisha weka adapter bila betri washa mashine yako. zima kawaida urudishe betri.
enjoy!

Nimejaribu but still imegoma kuwaka
 
Nilizima haraka haraka ikiwa na low charge nilipowasha imegoma nikaweka charge ikagoma nimejaribu kutoa betri na kurudishia pia imegoma msaada pls
Poleni kwa hayo matatizo ya laptop zenu. Nashauri kila unapohitaji msaada wa kitu kama hicho, weka aina, model na tatizo la kifaa husika (uwe specific) ili kama kuna mtu aliyewahi kukutana na tatizo kama la kifaa chako na akapata ufumbuzi aweze kuchangia.
 
Kuna chip karibu ya pakuchomekea RAM hua zikiungua,,pc hugoma kuwaka,,
Na jaribio la ku force kuwasha unaweza kuunguza RAM..
Ukipeleka kwa fundi unatibu matatizo mawili sas!!
Peleka kwa fundi unayemuamini
 
Mkuu kama uko dar00
mwone kijana huyu namba 719 858 626/ama 686 600 558
akishindwa kaitupe hana tamaa hoja yake ni kumaliza kazi kwanza malipo baadae
mjasiriamali yuko pale mwenge hakika nimeteseka na laptop siku naipeleka anaichambua kama njugu
na kutoa ushauri nitumie window gani kwa kazi zangu nk..

Ikipona usisahau zaka kanisani ama ni pme nikupe tigo peswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…