Msaada: Laptop hai play kupitia aux/headphone

kateka

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2012
Posts
697
Reaction score
549
Wadau natumia window 8 pamoja na linux, tatizo la laptop yangu nikiunganisha na waya wa aux/ headphone sauti haitoki nje inasikaka kwenye spika za pc tu.

nimejaribu external kupitia usb lakini haijasaidia, nimeweka drivers lakin haijasaidia. naomba msaada kama kuna solition juu ya hilo. natanguliza shukrani.
 
Hilo tatizo linatokea ukiwa kwenye OS ipi? na unavosema sauti inatoka kwenye spika za PC, hizo speakers ni internal au??
 
Hilo tatizo linatokea ukiwa kwenye OS ipi? na unavosema sauti inatoka kwenye spika za PC, hizo speakers ni internal au??
Linatokea kwa os zote, sauti inatoka kwenye internal.
 
Linatokea kwa is zote, sauti inatoka kwenye internal.

Ukiconnect headphones em jaribu kwenda kwenye sound settings ndani ya control panel (unaweza ku right-click ka icon ka sound then ukaclick Sounds, afu kwenye playback menu) uone kama headphone inaonekana, kama inaonekana basi jaribu kuifanya kama default, kuna sehemu imeandikwa set default..

Na kama una VLC media player unaweza kutest kwa kuplay kitu chochote ukaclick Audio > Audio device > pale jaribu options mbalimbali utakazozikuta kuona ipi inaweza cheza kwenye headphones..
 
Hili tatizo nililipata juzi(now solved) nilicheck settings zote ila wapi, so what i did was jus to connect to the net and installed windows updates and it worked
 
Thx mkuu nitajaribu.
 
Hili tatizo nililipata juzi(now solved) nilicheck settings zote ila wapi, so what i did was jus to connect to the net and installed windows updates and it worked
Kweli inanidai window update nitafanyia kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…