Huenda Cable unayotumia au USB Port ina shida jaribu kubadilisha.... ukitoa memory Card picha hauzioni coz hujaziweka kwenye memory Card ila zipo kwenye Memory ya Camera, zihamishe utaziona, unapotumia memory Card pitia mafail yote yaliyopo huenda umechanganya Folder lenye picha