Msaada: Kwenye Zebra Crossing

DOGofGOD

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
1,341
Reaction score
480
Amani Ya Bwana Iwe Kwenu Wote Wana Jamvi!

Hivi Ukiachilia Mbali JF( The Home Of Great Thinkers).Kuna Social Network Gani Nyingine Hapa Bongo Or Elsewhere Ambayo Naweza Kujoin Na Kupata Habari, Michango Na Maoni Tofaut Tofauti Kutoka Kwa Wadau Kwa Ajili Ya Kuelimika, Kuburudika Na Sometimes Kupunguza Stress

Naombeni Msaada Wenu Wadau Kwa Anaefahamu Chochote Atupie Humu Ili Atujuze Na Sisi Tunufaike.Tungependa Kupata Jina La Hiyo Tovuti, Link/ Url Yake Na Maelezo Kidogo Ya Maudhui Ya Hiyo Tovuti Ya Kijamii

Naomba Kuwasilisha Kwenu Wadau.
 
Hiyo ID yako sijaielewa.
Anyway, mie binafsi naupenda sana mtandao wa Mzibonet, halafu uende kwenye freeguestbook....♡♡♡♡♡
Jaribu kuingia huko
 
Hiyo ID yako sijaielewa.
Anyway, mie binafsi naupenda sana mtandao wa Mzibonet, halafu uende kwenye freeguestbook....♡♡♡♡♡
Jaribu kuingia huko

Nashukuru Mkuu Kwa Mchango Wako.Ila Kuhusu Hiyo ID Nadhani Kila Kitu Kiko Wazi.
 
unataka kuhama jf?

Siwezi Kuhama Jf Ila Siwezi Kusahau Siku Zangu Za Kulamba Ban Zikifika Ntapunguzia Wap Stress Zangu.

Kumbuka Kuna Siku Za Kucheka Na Siku Za Kulia Humu Jf.Kwahiyo Ni Vizuri Kua Tayari Katika Nyakati Zote.
 
Umenena ukweli@kiepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…