Msaada kwenye tuta

Ochugu

Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
35
Reaction score
12
Mimi ni Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni diploma ya IT.

Baada ya kuona soko la ajira limekua ni gumu ninawaza kujiari kwa mtaji wa 3m.

Kwa wenye uzoefu na biashara ni aina gani ya biashara inaweza kunitoa kimaisha.

Ingawa kuna wakati huwa Nawaza kuhonga pesa ili nipate kazi je ninakua sahihi?

NB. Kuna Kipindi nilijaribu kufanya biashara kwa mtaji wa 1m lakini nikafeli na nilijuta sana

Naishi Dar es salaam natanguliza shukran
 
fungua biashara ya Tigo pesa, M, pesa na airtel money!! Usimuajiri mtu bali simamia mwenyewe biashara yako!!!

Katika kiduka chako weka vocha za aina zote, nunua new Sims na kuwauzia wateja na kuwasajilia
 
Funguwa bar mkuu uwe unauza vilevi aina zote ukiitaji macreti ninayo takuuzia yako full na chupa
 
anza web designing, computer repair n maintenance, database, consultation, networking, software installation, preventive maintenance....design web supply for offer price...tigo pesa m pesa etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…